Mkopo wa Weekend Booster

  1. Home
  2. »
  3. Mkopo wa Weekend Booster

Mkopo wa weekend booster unampa ustawi mzuri mwanachama kila anapoelekea mapumziko ya mwisho wa wiki kwa kuwa na uhakika wa fedha ya kutosheleza mahitaji yote yanajitokeza wakati wa mapumziko mafupi ya wiki. Kiwango cha juu cha mkopo huu ni Tsh 100,000 na unarudishwa ndani ya siku 14.