Mkopo wa home sets unatoa fursa kwa mwanachama kununua kifaa chochote cha matumizi ya ndani kama vile jokofu, sofa, simu na samani zingine za ndani.