Mkopo wa Kiwanja

  1. Home
  2. »
  3. Mkopo wa Kiwanja

Mkopo wa kiwanja ni fursa anayopata mwanachama kumiliki kiwanja kwa kulipia gharama za umiliki kwa mkopo wa kiwanja. Mwanachama anajaza fomu ya mkopo wa kiwanja na kisha taratibu zote za ulipaji zinafanyika. Kisha mwanachama ataanza kulipia mkopo wake kwa muda usiopungua miezi 48 na kiwango cha juu kwa mkopo wa kiwanja ni Tsh 30 Milioni.