- Hisa huwakilisha sehemu ya umiliki wa chama.
- Mwanahisa ana haki ya kupata gawio kutoka kwenye faida kwa kiwango kilichoamriwa kigawiwe na mkutano mkuu.
- Mwanahisa ana haki ya kupiga kura kwenye mkutano mkuu wa chama kulingana na taratibu za chama.
- Mwanachama atachangia hisa kila mwezi kwa kiwango cha Tshs 50,000/=
Idadi ya hisa mwanachama anazotakiwa kununua ni hisa 20 ikiwa thamani ya hisa moja ni Tshs 50,000/=