Mkopo wa Ukarimu

  1. Home
  2. »
  3. Mkopo wa Ukarimu
  • Mkopo huu unatolewa kwa wanachama wapya waliojiunga na chama kwa mara ya kwanza.
  • Kiasi cha juu cha kukopa ni shilingi 1,500,000/=
  • Muda wa marejesho ni miezi 6 hadi miezi 12.
  • Riba ya mkopo huu ni 1.4%