Amana ya Kawaida

  1. Home
  2. »
  3. Amana ya Kawaida

Ni akaunti ya mawekezo ya mwanachama  ambapo Mwanachama anafungua kwa ajili ya malengo tofauti tofauti na anaweza Kutoa pesa kila mara anapohitaji.

Mwanachama anaweza kuweka kila mwezi au mara kwa mara kulingana na malengo atakayokuwa nayo.

FAIDA ZA MAWEKEZO YA AMANA YA KAWAIDA

  • Utapokea faida kila mwezi.
  • Riba kubwa ya kishindani.
  • Uhakika wa kupata faida ya uwekezaji kwa kipindi utakachowekeza
  • Inakupa nafasi ya kuchagua muda wa kuwekeza kwa mahitaji yako mwenyewe.
  • Unaruhusiwa kuongeza kiasi cha uwekezaji kadri uwezavyo kwa muda tofauti.
  • Fedha za mteja zipo salama wakati wote
  • Hakuna makato ya kila mwezi.

SIFA NA VIGEZO VYA AKAUNTI HII

  • Amana inawekwa  mara Kwa mara Amana itaweza kuchukuliwa
    pindi mwanachama atapohitaji
  • Amana itapata faida kila mwezi
  • Amana inaweza kukatwa kwenye mshahara au kwa malipo
    ya fedha taslimu

MAOMBI

  • Muombaji anatakiwa kuwa mwanachama wa Tanesco Mbeya
    Saccos
  • Atajaza fomu itakayopatikana ofisi za chama