Mkopo wa Miliki Chopa

  1. Home
  2. »
  3. Mkopo wa Miliki Chopa

Mkopo wa miliki Chopa unamuwezesha mwanachama kununua gari, trekta, powertiller, bajaji au pikipiki kupitia mkopo. Mkopo huu mwanachama anaunganishwa na wakala anayetumiwa na chama na kuchagua chombo anachokitaka. Kupitia mkopo huu mwanachama ana nafasi kubwa kuchagua chombo chake kikiwa katika ubora wa hali ya juu sana. Mwanachama atakopa kuanzia Tsh 3,000,000 hadi Tsh 50,000,0000 Muda wa marejesho ni miezi 12 hadi 60.

Mkopo wa miliki Chopa unamuwezesha mwanachama kununua gari, trekta, powertiller, bajaji au pikipiki kupitia mkopo. Mkopo huu mwanachama anaunganishwa na wakala anayetumiwa na chama na kuchagua chombo anachokitaka. Kupitia mkopo huu mwanachama ana nafasi kubwa kuchagua chombo chake kikiwa katika ubora wa hali ya juu sana. Mwanachama atakopa kuanzia 3,000,000 hadi 30,000,0000 Muda wa marejesho ni miezi 12 hadi 48, riba ya mkopo ni 1% kwa mwezi